UCHUMI HURU
Tue Oct 13, 2020 11:14 pm
Ni uhali gani mpenzi mfuatiliaji wa makala za mtandao huu! Leo ninayo furaha kukuandikia makala hii ihusuyo "uchumi huru" kwanza nianze kwa kukufafanulia maana halisi ya neno uchumi huru. Uchumi huru ni kipato anachokipata mtu pasina hujuma zozote, mfano; (1) mtu anaye fanya kazi kwa nguvu zake na kwa juhudi zake mwenyewe, mtu huyu kipato chake kinahesabika uchumi huru.
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum